TEMBO NICKEL KUANZA UZALISHAJI MWAKA 2026

Yathibitisha kutoa Fursa kwa Watanzania, hadi sasa imeajiri Watanzania 96 Kufikia Aprili 2023, Wakandarasi wametoa Ajira…

UWT TAWI LA MAKANGIRA WAPOKEA WANACHAMA WAPYA 145

Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Chama Cha Mapinduzi (UWT) Tawi la Makangira, Kata ya Msasani Wilaya…

MIRADI YOTE IKAMILIKE KABLA YA MWISHO WA MWAKA WA FEDHA -SENYAMULE. 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amewataka  Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya za Dodoma kukamilisha…

OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASISITIZA UZINGATIAJI WA MAADILI YA UTENDAJI KWA WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA TANZANIA

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman…

SPIKA DKT. TULIA AZITAKA NCHI ZA SADC KUENDELEZA USHIRIKIANO NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA CHAKULA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi Wanachama…

TMA YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KIPINDI CHA JUNI HADI AGOSTI 2023

Mamlakan ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA ) katika kipindi cha mwezi Juni hadi Agosti 2023…

JK ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA 7 LA UONGOZI AFRIKA ACCRA-GHANA

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameungana na Marais wengine Wastaafu wa…

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO

Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa…

WAZIRI MABULA AWEKA BAYANA VYANZO VYA MIGOGORO SUGU NCHINI

“Tuondoe migogoro kwenye maeneo yetu, tumeona na tunajua faida ya upangaji bora matumizi ya ardhi, watu…

MGOGORO WA MTINGA- TANZANIA NA KENYA BADO NI KIZUNGUMKUTI

Serikali imetakiwa kufanya hima kutatua mgogoro uliopo baina ya mpaka wa Tanzania Wilaya ya Mtinga Mkoani…