MKANDARASI KUKABIDHIWA ENEO UJENZI UWANJA WA DODOMA

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa michoro kwa ajili ya ujenzi…

SPORTPESA YASIKITISHWA NA UAMUZI WA YANGA

Kampuni ya kubashiri ya SportPesa imetoa taarifa ya kusikitishwa sana na uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa…

UMITASHUMTA NA UMISSETA HUTUMIKA KUKUZA VIPAJI VYA WATOTO

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema kuwa, miongoni mwa mipango ya…

SPIKA DKT. TULIA ATANGAZA UJIO WA BUNGE BONANZA

Na, Deborah Munisi – Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt…

NAIBU WAZIRI GEKUL ASISITIZA UTUNZAJI MAENEO YA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA

Na Shamimu Nyaki Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul leo Januari 18,…

MAENEO YA URITHI WA UKOMBOZI KUKATABATIWA KUVUTIA UTALII.

Na Shamimu Nyaki Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul amezindua Mpango wa…

KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAPOKEA TAARIFA YA WIZARA YA UTAMADUNI

Na Shamimu Nyaki Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imepokea taarifa ya Wizara ya…

MBUNGE ULANGA KUIBUA VIPAJI MCHEZO WA SOKA

Mbunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Hasham maarufu Kwa jina la bilionea amesema anahakikisha…

CRISTIANO RONALDO AJIUNGA NA KLABU YA SAUDI ARABIA KWA MKATABA UTAKAODUMU HADI 2025

Cristiano Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba utakaodumu hadi 2025.…

PUMZIKA KWA AMANI ‘PELE’ MWANASOKA ULIYEYAFANYA MAKUBWA YA KUISHANGAZA DUNIA

Edson Arantes do Nascimento (Kireno cha Brazili: Almaarufu kama Pele Gwiji wa Soka Duniani amefariki Dunia…