“MSIONE WANYAMA NI BORA KULIKO WATU” MHE. WAITARA

Na Deborah Munisi, Dodoma Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara ameitaka serikali kuwashirikisha wabunge na…

WATALII WA UWINDAJI WA KITALII WAONGEZEKA NCHINI, REKODI YAVUNJWA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania kupitia Sekta ya Utalii imeshuhudia kuvunjwa…

DUWASA YATAKIWA KUPELEKA MAJI ZAHANATI YA NTYUKA

Naibu Waziri wa Wizara ya maji mhe. Mhe. Maryprisca Mahundi amezindua Mradi wa Maji safi eneo…

KIFO CHA MWANAFUNZI UDOM HAKIHUSIANI NA AJALI YA NAIBU WAZIRI DUGANGE

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ambayo ipo chini ya Wizara ya Katiba…

TANZANIA YAONGOZA KUWA NA SIMBA WENGI DUNIANI

Na Deborah Munisi Imethibitishwa kuwa Tanzania inaendelea kuongoza kuwa na simba wengi duniani wapatao 14,912 kutokana…

TAFITI ZA KINA KUFANYIKA ILI KUFANYA MAAMUZI YENYE TIJA KWA TAIFA

Na Deborah Munisi, Dodoma Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson…

HEKARI 16 ZATENGWA UJENZI WA HOSPITALI YA MKOA – UKEREWE

Hekari 16 zimetengwa katika Wilaya ya Ukerewe, Kata ya Bukindo Kijiji cha Bulamba kwa ajili ya…

TANZANIA NA JAPAN KUSHIRIKIANA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI

Na Eleuteri Mangi Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Wizara…

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU

Na Deborah Munisi, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi…

ASILIMIA 5% FEDHA ZA UVUNAJI MITI KUPELEKWA KWENYE UPANDAJI MITI ILI KURUDISHA UOTO WA ASILI

Na Deborah Munisi, Dodoma Usimamizi na matumizi ya rasilimali za misitu hufanywa kwa mujibu wa Sheria…