KUELEKEA MIAKA 60 YA JKT, YAJIPANGA KUKUSANYA CHUPA ZA DAMU SALAMA 10,000

Jeshi la Kujenga Taifa JKT limesema limejipanga kukusanya chupa za damu salama zaidi ya 10,000 kwa…

WAZIRI UMMY:WATANZANIA 8500 WANAHITAJI HUDUMA ZA KUPANDIKIZWA FIGO.

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu amesema tafiti zimebaini kuwa takriban watanzania 5800 mpaka 8500 wanahitaji huduma…

MGANGA WA TIBA ASILI ALETA WATOTO 12 KUPATA CHANJO YA SURUA.

Ikiwa Wizara ya Afya inaendelea na kampeni ya chanjo ya Surua kwa watoto waliochini ya umri…

ELIMU YA USAFI WA MTU BINAFSI YATOLEWA BUKOBA

Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba kupitia idara ya Afya na mazingira imefanya kampeni ya kutoa Elimu…

WANANCHI KATAVI WAVUTIWA NA HATUA YA WIZARA YA AFYA KUELIMISHA SURUA KWA NJIA YA SINEMA.

Baadhi ya wananchi kutoka kata ya Majimoto Halmashauri ya Mpimbwe Wilayani Mlele Mkoa wa Katavi wamepongeza…

WAZIRI UMMY AAGIZA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA WATOTO KUPATA CHANJO.

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wilaya na mikoa kote nchini kuhakikisha wanawachukulia hatua wazazi…

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imeandaa programu maalumu ya kutangaza mafanikio ya Serikali ya…

UJIO WA MADAKTARI KUTOKA CHINA NI FURSA – DKT. MWINYI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa…

WADAU SEKTA YA AFYA WAASWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI UIMARISHAJI WA MIFUMO

Katika kuelekea Bima sheria ya Bima ya Afya kwa Wote,wadau wa sekta ya Afya wameaswa kushirikiana…

DKT. SAMIA ANUNUA MAGARI 727 YA KUBEBEA WAGONJWA- DKT. MOLLEL.

NAIBU Waziri wa afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…