WANANCHI EPUKENI KUJENGA MAENEO HATARISHI

Serikali imewataka wananchi kuepuka kujenga katika maeneo hatarishi yanayoweza kusababisha maafa kama vifo, uharibifu wa miundo…

MKATABA UTAFITI WA GESI YA HELIAM WASHUHUDIWA

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameshuhudia utiaji Saini Mkataba wa Utafiti wa Gesi ya…

WATAALAMU SEKTA YA MAJI SHIRIKISHANENI MAARIFA – NAIBU WAZIRI MAJI

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wataalamu na wadau wa sekta ya…

DKT. BITEKO ATAKA MADINI KUONGEZA AMANI UKANDA MAZIWA MAKUU

WAZIRI wa Madini, Dkt. Doto Biteko amesema, Kamati ya Ukaguzi wa Madini ya Jumuiya ya Ukanda…

VIKAO VYA BUNGE KURUSHWA LIVE

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Waandishi wa habari leo Aprili 4, 2022 katika Ukumbi wa Spika…

 MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 2…

MILEMBE YAPOKEA WAGONJWA WA AKILI ZAIDI YA MIA TANO, NDUGU WAWATELEKEZA

Na. Emmanuel CharlesWanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Tawi la Chuo cha Mipango Dodoma wametembelea Hospital…

RAIS SAMIA ANENA MSTAKABALI WA CCM BAADA YA UCHAGUZI WA MAKAMU

Na. Regina Cheleso Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amesema baadhi…

Maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mkoani Njombe yakamilika

Akizungumza leo mkoani Njombe, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye…

SERIKALI KUHAKIKISHA DAWA ZA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KUWEPO KWENYE VITUO VYOTE NCHINI

Na. Catherine Sungura,WAF-Dodoma Serikali itahakikisha dawa na vifaa tiba za magonjwa yasiyoambukiza zinapatikana kwenye vituo vya…