UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ELIMU IENDANE NA MAZINGIRA SALAMA KWA WANAFUNZI

Wataalam kutoka Benki ya Dunia wamewashauri wasimamizi wa elimu nchini kuzingatia usalama wa watoto ndani na…

RUFIJI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO

Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na…

RAIS DKT. SAMIA YUPO ‘SERIOUS’ NA UJENZI WA BARABARA NCHINI – BASHUNGWA

Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini unafanyika kwa umakini…

TANZANIA KUWA WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI – MAJALIWA

WaziriMkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania…

BAHATI NDINGO ASHINDA UBUNGE JIMBO LA MBARALI KUPITIA CCM

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama…

WAZIRI KAIRUKI AITAKA TAWA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa…

MADINI VISION 2030 KUTANGAZWA INDONESIA

Ushirikiano Tanzania, Indonesia waimarishwa Madini ya Kimkakati kupewa kipaumbele Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe. Tri…

ZAIDI YA BILION 50 KUNUFAISHA WANANCHI MKOANI IRINGA

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza utekelezaji wa mradi wa Uboreshaji wa Barabara…

CP SUZAN KAGANDA ATOA TAARIFA YA MKUTANO IAWP AFRIKA CHAPTER NEW ZEALAND 2023 IAWP

Kamishna wa Polisi wa kamisheni ya Utawala na manejimenti ya rasilimali watu CP Suzan Kaganda leo…

BIL. 490/- ZATUMIKA MKOANI LINDI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengewa…