SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO LEO

Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameongoza Kikao cha Kundi hilo leo Aprili 25, 2023, Mtandaoni.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Maspika wa Mabunge ya Afrika pamoja na Viongozi wa Misafara katika Umoja wa Mabunge Duniani. Pamoja naye, alishiriki Katibu wa Bunge ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *