MBUNGE MUSUKUMA AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUKUZA DEMOKRASIA”HATUTAKI KUPIGA TENA SWAGA”

Leo April 4 2023 bunge limempongeza RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na miongoni mwa wabunge waliotumia nafasi hiyo ni Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Mhe. Joseph Msukuma.

Ni katika Bunge la 12 mkutano wa 11 mwaka 2023 wakati wa kujadili Azimio la bunge la kumpongeza Rais Dkt. Samia kwa kuimarisha Demokrasia nchini na kukuza Diplomasia ya uchumi Bungeni jijini Dodoma.

Amempongeza rais Dkt. Samia kwa kuboresha mfumo wa Demokrasia hapa nchini ambayo imeleta taswira halisi ya siasa ikiwa ni pamoja na kukuza uchumi wa nchi.

Swala la ripoti ya CAG nayo ikashika Kasi.
“Mtu anaiba huku halafu Nyie nyie mnamwamisha mnampeleka halmashauri nyingine, Haiwezekani” Alisema Mhe. Musukuma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *