SAASHISHA CUP YAZIDI KUTIKISA KILIMANJARO

Michuano ya Saashisha Cup 2023, Hai imeendelea Katika viwanja vya Half Landon, ambapo Team ya Harsho imeibuka na ushindi wa Mabao Manne (4) kwa Matatu (3) zidi ya mpinzani wake Kilimanjaro Modern Teachers.

Kutokana na ushindi huo, Kamati ya michezo imepokea barua ya malalamiko kutoka kwa team ya Kilimanjaro Modern Teachers kuwa Team pinzani imechezesha wachezaji ambao walicheza mechi za awali kwenye team ambazo zilitolewa ishirini (20) Bora, hivyo kutokana na sababu hiyo Kamati ya michuano ya Saashisha cup inainyang’anya Harsho ushindi kwa kuvunja sheria na makubaliano ya Kamati ya michuano na kuwapa Ushindi Kilimanjaro Modern Teachers.

Matukio Katika Picha wakati wa Michuano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *