WIZARA YA MAJI YAWASILISHA TAARIFA YAKE KWENYE KAMATI YA BUNGE YA MAJI NA MAZINGIRA.

Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022 hadi 2023 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira hii leo Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mheshimiwa Jackson Kiswaga akifafanua jambo kwenye kikao cha Kamati hiyo kilichoketi hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022 hadi 2023. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakifuatilia jambo kwenye kikao cha Kamati hiyo wakati Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022 hadi 2023 hii leo Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *