KATIBU MKUU- MIGIRE AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI

Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Uchukuzi, ambaye ni Katibu Mkuu-Uchukuzi, Bw.Gabriel Migire, akizungumza na wajumbe wa baraza (hawapo pichani) wakati akifunga baraza la wafanyakazi
Sekta ya Uchukuzi, lililofanyika Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Dk Ally Possi, akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi (hawapo pichani), wakati wa ufungaji wa baraza hilo, jijini Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Profesa Zacharia Mganilwa akichangia mada kuhusu majadiliano ya mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 wakati wa ufungaji wa baraza la wafanyakazi wa sekta ya Uchukuzi, lililofanyika Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Sekta ya Uchukuzi, wakimsikiliza Katibu Mkuu Bw.Gabriel Migire (hayupo pichani) wakati akifunga baraza la wafanyakazi, lililofanyika Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *