SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA QATAR NCHINI TANZANIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain bin Ahmad Al-Homaid katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Oktoba, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain bin Ahmad Al-Homaid tukio lililofanyika katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Oktoba, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiagana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Mhe. Hussain bin Ahmad Al-Homaid katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 19 Oktoba, 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *