WAZIRI MKUU AKERWA UCHELEWESHWAJI UMEME UKEREWE, AAGIZA MKURUGENZI JUMEME KURIPOTI DODOMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugezi wa Kampuni binafsi ya JUMEME, Bi. Aida Kiyanga iliyepewa kazi…

KAMPASI YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KUJENGWA KIGOMA-WAZIRI MKENDA

Na Mathias Canal, WEST-Kigoma Serikali kupitia Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ina…

BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB), YATAKIWA KUANGALIA PENGO LA KISERA

Zanzibar MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, amesema ni muhimu kwa…

MAKAMU WA RAIS ATOA POLE MSIBA WA DADA WA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Oktoba…

BILION 45 KUTUMIKA UJENZI WA BARABARA YA NTENDO – MUZE

Serikali inatarajia kutumia takribani Shilingi Bilioni 45 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Ntendo hadi…

RAIS SAMIA AIPA KONGOLE WIZARA YA MAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Skimu ya Maji ya…

BILIONI 2.2 ZAREJESHWA NA HALMASHAURI KWENYE MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA KUPITIA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2022.

Mbio za Mwenge wa uhuru mwaka 2022 zilizofikia kilele tarehe 14 Oktoba 2022 mkoani Kagera, zimefanikiwa…

MIRADI YA KIMKAKATI INAYOENDELEA KUTEKELEZWA MKOANI MWANZA KUFUNGUA UTALII WA KANDA YA ZIWA

Miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa na Serikali Mkoani Mwanza inaenda kufungua utalii katika Kanda ya Ziwa…