WAZIRI JENISTA AFANYA KIKAO KAZI NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE KUHIMIZA UWAJIBIKAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya ofisi yake (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi chake na wakuu hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakimsikiliza Waziri wa Ofisi hiyo Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi chake na wakuu hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.
Kamishna wa Maadili nchini, Mhe. Jaji wa Rufani Sivangilwa Mwangesi (wa kwanza kutoka kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na taasisi zilizo chini ya ofisi yake chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji  kilichofanyika jijini Dodoma.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama (katikati) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na taasisi zilizo chini ya ofisi yake chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Omari Kitenge (aliyevaa miwani) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na taasisi zilizo chini ya ofisi yake chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw. Firimin M. Msiangi akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na taasisi zilizo chini ya ofisi yake chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Cosmas Ngangaji akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na taasisi zilizo chini ya ofisi yake chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Bw. Xavier Daudi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *