NAIBU SPIKA ZUNGU ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA AMANI ZANZIBAR

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani (CCM) Mhe. Mussa Hassan Mussa katika mazishi yaliyofanyika Kijijini kwao Bwejuu, Zanzibar
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani (CCM) Mhe. Mussa Hassan Mussa yaliyofanyika Kijijini kwao Bwejuu, Zanzibar. Wapili kushoto Ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Rais Mstaafu wa Zanzibar wa awamu ya Saba Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *