SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA KUPOKEA MAONI KUHUSU KUBORESHA USHIRIKI WA MABUNGE YA AFRIKA KATIKA IPU.

Spika wa Bunge Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Kijiografia Kanda ya Afrika la Umoja wa Mabunge Duniani (African Geopolitical Group of IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha kupokea maoni kuhusu kuboresha ushiriki wa Mabunge ya Afrika katika shughuli na mikutano ya IPU.

Kikao hicho kimefanyika leo Oktoba 14, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kigali (KCC) Nchini Rwanda wakati wa Mkutano wa 145 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *