TANZIA: MBUNGE WA CCM AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Jimbo la Amani, Mussa Hassan, amefariki dunia hii leo Oktoba 13, 2022, visiwani Zanzibar, na mazishi yatafanyika leo saa 10:00 jioni kijijini kwao Bwejuu wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amethibitisha kutokea kwa Kifo hicho, ambapo ameeleza kusikitishwa na Kifo Cha Mbunge huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *