WINDHOEK, NAMIBIA

Waziri wa Maji Tanzania Mhe Jumaa Aweso amewasili Windhoek nchini Namibia kushiriki katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Afrika (African Ministers’ Council On Water-AMCOW) unaofanyika tarehe 13 Oktoba, 2022
Mkutano huo utajadili masuala mbalimbali ya maji katika Bara la Afrika.
