SPIKA DKT. TULIA AWASILI NA KUPOKELEWA CCM, KILIMANJARO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kilimanjaro na kupokelewa na Viongozi mbalimbali wa chama hicho ambapo anashiriki zoezi la kusimamia kikao cha kamati ya siasa cha CCM cha kuchuja na kupendekeza wagombea nafasi za uongozi ngazi ya Mkoa na Taifa kinachofanyika leo Oktoba 8, 2022 Mkoani humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *