UJENZI NA UCHUKUZI, WASHIRIKI SHIMIWI TANGA 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora, Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya wanamichezo wa Sekta ya Uchukuzii, mara baada ya  Ufunguzi wa Mashindano ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), jijini Tanga.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Mwalimu wa kamba kutoka Sekta ya Uchukuzi Bw.Nicas Luanda, mara baada ya kufungua Mashindano ya michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), ambapo Uchukuzi ilishinda Roundi zote mbili dhidi ya Wapinzani wao Hazina, Jijini Tanga.
Wanamichezo kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Wakipita mbele ya Mgeni Rasmi  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora, Mhe. Jenista Mhagama, wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), Jijini Tanga. 

Wachezaji wa Timu ya Kuvuta Kamba Kutoka Sekta ya Uchukuzi, (wenye sare ya bluu) wameibuka kidedea mara baada ya kuwafunga timu ya Hazina kwa kuwavuta raundi zote mbili, mchezo ulioshuhudiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora, Mhe. Jenista Mhagama, wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI), Jijini Tanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *