MASAUNI AWATAKA WATENDAJI WAPYA CCM JIMBO LA KIKWAJUNI KUFUATA MAADILI YA CHAMA, KUBUNI MIRADI YA MAENDELEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kufuata maadili ya chama na kuwa wabunifu wamiradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini, Unguja, Zanzibar, Talib Ally Talib alipokuwa akizungumza kabla ya kufungua Mafunzo Elekezi kwa Watendaji wa CCM Jimbo la Kikwajuni, jimboni humo, leo Oktoba 6, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jimbo la Kikwajuni, Rukia Omar Othman. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini, Unguja, Zanzibar, Talib Ally Talib kabla ya kuanza kwa Mafunzo Elekezi kwa Watendaji wa CCM Jimbo la Kikwajuni, jimboni humo, leo Oktoba 6, 2022. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu, Najma Giga. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akifurahia jambo na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, Nassor Ali Jazeerah, wakati wa Mafunzo Elekezi kwa Watendaji wa CCM Jimbo la Kikwajuni, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Watendaji mbalimbali wa CCM Jimbo la Kikwajuni katika Mafunzo Elekezi kwa Watendaji hao, yaliyofanyika jimboni humo, Unguja, Zanzibar, leo Oktoba 6, 2022. Masauni amewataka Watendaji hao waliochaguliwa hivi karibuni kuwa wabunifu katika miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *