
Wafahamu wapinzania wa Yanga kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa katika Hatua ya Kwanza.
Al Hilal Omdurman au kwa kifupi Al Hilal, ni klabu ya soka ya Sudan yenye makao yake makuu mjini Omdurman ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Sudan.
Jina Hilāl ni neno la Kiarabu likiwa na maana ya mwezi mpevu – jina lililochaguliwa usiku wakati mpevu wa mwezi ulioonekana katika Mji wa Omdurman. Pia ni klabu ya kwanza duniani kupewa jina (AL- HILAL).
Klabu hii ina majina mengi ya utani ambayo ni Seed Al-Balad (Kiongozi wa Nchi) Al-Mawj Al-Azraq ikimaanisha(Wimbi la Bluu)
ni Jina lingine JiNadi Al-Haraka Al-Wataniya (Klabu ya Harakati ya Kitaifa)
Nadi Al-Shaab (Klabu ya Watu)
Klabu hii ilizaliwa 13 February 1930; zaidi ya Miaka 92 iliyopita.
Uwanja wanaoutumia ni Al Hilal Stadium wenye uwezo wa kubeba Takribani watazamaji elfu 60.
Mwenyekiti wa Klabu hii anaitwa Hesham Hassan al Subat
Kocha wao Mkuu wa sasa ni Flore Ibenge Raia wa DRC CONGO ambaye wengi tunamfahamu
Mwenyekiti ambaye yupo hivi sasa ni wa 30 ambapo miongoni mwa waliowahi kushika wadhifa huo ni pamoja na
MSudan Babiker Ahmed Gabani (1930)
Sudan Amin Babiker (1930–1931)
Sudan Hamadnaallah Ahmed (1931–1933)
Sudan Makki Osman Azreg (1933–1938)
Sudan Bushra Abdelrahman Sagheer (1938–1944)
Sudan Elhaj Awadallah (1944–1946)
Sudan Mohamed Hussaein Sharfi (1946–1948)
Sudan Mohamed Khalid Hassan (1948–1950)
Sudan Ahmed Mohamed Ali Elsenjawi (1950–1952)
Sudan Mohamed Aamir Bashir Forawi (1952–1962)
Sudan Mahmoud Abusamra (1962–1963)
Sudan Mahjoub Taha (1963–1965)
Sudan Elsir Mohamed Ahmed (1965–1967)
Sudan Mohamed Abdallah Galnder (1967–1969)
Sudan Salih Mohamed Salih (1969–1971)
Sudan Omer Ali Hassan (1971–1973)
Sudan Ahmed Abdelrahman Elsheikh (1973–1975)
Sudan Zainelabdeen Mohamed Ahmed Abdelgadir (1975–1977)
Sudan Eltayeb Abdallah Mohamed Ali (1977-84/1988/1988-91/1994-96/1999)
Sudan Omer Mohamed Saeed (1984–1988)
Sudan Noureldin Elmubark (1988)
Sudan Abdelmajeed Mansour Abdallah (1991–1994)
Sudan Hassan Abdelgadir Hilal (1996–1999)
Sudan Taha Ali Elbashir (1999–2002)
Sudan Abdelrahman Sirelkhatim (2002–2005)
Sudan Salaheldin Ahmed Mohamed Idris (2005–2010)
Sudan Yusuf Ahmed Yusuf (2010)
Sudan Elamin Elberair (2011–2013)
Sudan Elhaj Ataaelmanan (2013)
Sudan Ashraf Seed Ahmed (2014–2020)
Sudan Hesham Hassan Al Subat (2020–)Wote wakiwa ni Raia wa Sudan.
Flore Ibenge ni Kocha wa 47 Kuifundisha Timu hiyo
Miongoni mwa Makocha waliowahi kufundisha ni
MsudanSaleh Rajab (1950–1958)
MuTunisia Nasreddine Nabi (2014)
Mbelgiji Patrick Aussems (2015)
MSerbia Zoran Manojlović (2020–2021)
Portugal Ricardo Formosinho (2021)
Portugal João Mota (2021–2022) na sasa ni Flore Ibenge.
Nahodha wa Kikosi anaitwa Muhamed Abdel Rahman (2022–)Raia wa Sudan.
Ukiwazungumzia Al Hilal wana wa Omdurman hakika lazima utaje mafanikio yao lukuki waliyojipatia mpaka sasa ambapo ni Mabingwa wa 29 wa Ligi Kuu ya Sudan
Wakiyazoa mataji hayo kuanzia mwaka 1965, 1966, 1969, 1973, 1981, 1983, 1984, 1986, 1987, 1989,1991, 1994, 1995, 1996, 1998, 1999, 2003, 2004, 2005, 2006, 2007, 2009, 2010, 2012, 2014, 2016, 2017, 2020–21, 2021-22.
Sudan Cup; wakiwa wamebeba mara 7
Kuanzia mwaka ;1998, 2000, 2002, 2004, 2009, 2011, 2016.
Kwenye Ligi ya Mabingwa wa Uarabuni wamewahi kuwa washindi wa Pili mwaka 2002 Pekee.
MAFANIKIO KWENYE LIGI YA MABINGWA BARANI AFRIKA.
Wamewahi kushika nafasi ya Pili mara mbili ambazo ni Mwaka 1987 na 1992.Msimu uliopita wakiwa wameishia katika hatua ya makundi.
1 1966 – Waliishia Nusu Fainali
2 1967 – Raundi ya Kwanza
3 1970 – Raundi ya pili
4 1974 – Raundi ya Pili
5 1982 – Raundi ya Pili
6 1984 – Raundi ya Kwanza
7 1985 – Raundi ya Pili
8 1987 – Waliishia katika Hatua ya Fainali.
9 1988 – Robo Fainali
10 1990 – Robo Fainali
11 1992 –Walifika Fainali.
12 1995 – Raundi ya Kwanza
13 1996 – Raundi ya Kwanza
14 1997 – Raundi ya Pili
15 1999 – Raundi ya Pili
16 2000 – Raundi ya Kwanza.
17 2004 – Raundi ya Pili
18 2005 – Raundi ya Kwanza
19 2006 – Raundi ya Pili
20 2007 – Nusu Fainali
21 2008 – Hatua ya Makundi
22 2009 – Nusu Fainali
23 2010 – Raundi ya Pili
24 2011 – Nusu Fainali
25 2012 – Raundi ya Pili
26 2013 – Raundi ya Kwanza
27 2014 – Hatua ya Makundi
28 2015 – Hatua ya Nusu Fainali.
29 2016 – Raundi ya Kwanza
30 2017 – Hatua ya Makundi.
31 2018 – Hatua ya Kwanza
32 2018–19 – Raundi ya Kwanza.
33 2019–20 – Hatua ya Makundi.
34 2020-21 – Hatua ya Makundi.
35 2021-22 – Hatua ya Makundi.
PIA SIO MBAYA KUKUKUMBUSHA MAFANIKIO YAO KWENYE KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA JAPO WAMESHIRIKI MARA CHACHE.AMBAZO IKIWA NI MWAKA
1 2004 – Safari yao ilikuwa ni katika Hatua ya Makundi.
2 2006 – Hatua ya Kati
3 2010 – Hatua ya Nusu Fainali.
4 2012 – Hatua ya Nusu Fainali
5 2018 – Hatua ya Makundi.
6 2018–19 – Hatua ya Robo Fainali.
Kwenye Kombe la Washindi wa Afrika kabla ya kubadilishwa kuitwa Klabu Bingwa Afrika wao Al Hilal walionekana mara nne ikiwa ni miaka ya
1 1978 – Wakiishia Raundi ya Kwanza
2 1994 – Raundi ya Kwanza
3 2001 – Raundi ya Kwanza
4 2003 – Raundi ya Pili.
Kikosi cha Al hilal kinajumuishwa na wachezaji
Muivory Coast Eisa Fofana
Sudan SDN Abuaagla Abdalla
Sudan SDN Abdel Raouf
Sudan SDN Altayeb Abdelrazeg
Ghana GHA Ibrahim Imoro
Sudan SDN Muhamed Ering
Sudan Eid Mugadam
Sudan SDN Yaser Muzmel
Sudan SDN Muhamed Abdel Rahman (Captain)
Sudan SDN Waleed Al-Shoala
MGambia Lamin Jarjou
Sudan SDN Khater Awadallah
MCameroon Salomon Banga
Sudan Salah Adel
Sudan Ishag Adam
Angola Victor Vidinho
Msudan Ahmed Wadah
Sudan Eisa Ramadan
Sudan Muhamed Almunzer
Wengine ni MSudan Walieldin Khedr
MSudan Faris Abdalla
Msudan Nasr Eldin El Shigail
Msudan Alsheikh Muhamed
Sudan Ahmed Yahia
Sudan SDN Athar El Tahir
Sudan SDN Muwafaq Sedig
Sudan SDN Anas Saeed
Sudan SDN Ali Abu Eshrein
Sudan SDN Muhamed Abouja
Sudan SDN Amjed Esam
Sudan SDN John Mano
MuIvory Coast Claude Singone
WANA STRAIKA HATARI MKONGO Makabi Lilepo
Wachezaji wengine ni Mubarak Abdallah
MNigeria Abdul Jeleel Ajagun
MMalawi MWI Gerald Phiri Jr.
MSudan Hasan Mutwakel
MsudanOsman Mukhtar
AL HILAL KWENYE LIGI KUU NCHINI SUDAN TAKWIMU ZAO MPAKA SASA MECHI ZAO TANO ZA MWISHO WAMESHINDA BILA KUPOTEZA WALA KUTOA SARE.
WAKIWA WAMECHEZA MECHI 30 NA KUSHINDA MECHI 24 ALAMA WALIZOKUSANYA NI 77, WAKIWA WAMEPOTEZA MCHEZO MMOJA NA KUDROO MITANO.WAKATI WAPINZANI WAO YANGA KATIKA MSIMU ULIOPITA HAWAKUPOTEZA KABISA MCHEZO KWENYE LIGI.
AL HILAL WAMEFIKA KATIKA HATUA HII BAADA YA KUWAONDOA ST. GEORGE YA ETHIOPIA HUKU YANGA WAKIWAONDOA ZALAN FC YA SUDAN KUSINI.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wa kuwania kufuzu Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa wakiwa hawajajizolea mafanikio makubwa kwenye michuano hii.
Yanga wameingia kwenye Hatua ya Makundi Mara moja tu, nayo ni Mwaka 1998
1997 – Waliishia katika Hatua za Awali
2001 – Waliishia Hatua ya Pili
2006 – Waliishia Hatua za awali
2007 – Waliishia Hatua ya Pili
2009 – Waliishia katika Hatua ya Kwanza
2010 – Waliishia kwenye Hatua za awali
2012 – Waliishia Hatua za awali
2014 – Waliishia Hatua ya kwanza
2016 – Waliishia Hatua ya pili
2017 – Wakaishia Raundi ya kwanza
2022 – Waliondolewa na Rivers United mapema kabisa.
Ni dhahiri kwa takwimu hizo Yanga wana Kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha wanafuzu hatua ya makundi licha ya Kikosi Bora ambacho wako nacho kwa sasa.
Tusubiri kuona kuanzia October 08 katika Dimba la Mkapa Jijini Dar es salaam kuona ni nini kitatokea.
BOFYA HAPA CHINI KUTAZAMA NA KUSIKILIZA SIMULIZI HII
@Deborah Munisi. @Emmanuel Charles.