
EWURA Yatangaza Bei za Bidhaa za Petroli Kuanzia Jumatano 5 Oktoba 2022
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Oktoba 2022 saa 6:01 usiku.