
Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson kupitia taasisi ya Tulia Trust amekabidhi hundi ya Tsh: 50,000,000/- ikiwa ni mkopo wa masharti nafuu kwa kikundi cha umoja wa wakata tiketi za magari Uyole Jijini Mbeya (UWAT UYINTE GROUP).
