
Ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Geita imezindua wiki ya huduma kwa wateja 2022 kwa kishindo yenye kauli mbiu “ Huduma bora ; Kipaumbele chetu ambapo kwa mwafanyakazi wa NSSF Geita walijumuika na wateja waliofika ofisini hapo kusherekea kwa pamoja wiki ya huduma kwa wateja





