TANZANIA YAINYUKA UZBEKISTAN KOMBE LA DUNIA.

Mashindano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu yanayoendelea nchini Uturuki

Tanzania yashinda dhidi ya Uzbekistan kwa goli 2-0 kwenye mechi iliyochezwa leo Oktoba 3, 2022 nchini Uturuki.

Kwa matokeo hayo Tanzania inasubiri mchezo kati ya Poland na Hispania utakaochezwa majira ya saa 12:00 jioni, huo ndio mchezo utakaoamua nani kati ya Poland na Tanzania kushika nafasi ya pili katika kundi lao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *