
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu CCM taifa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 1 Oktoba, 2022 ameshiriki zoezi la uchaguzi mkuu wa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya Wilaya ya Mbeya Mjini.

