RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI IKULU, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo October 01, 2022 amewaapisha Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama, Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, Pamoja na Makamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi

Hafla hiyo Fupi imefanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma.
Walioapishwa ni
Mhe. Abubakar Amin Mrisha Aliyeapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Mwingine aliyeapishwa ni Sylvester Joseph Kainda kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani

Rais pia, amemuapisha Idriss Ramadhan Mavura kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi
Pia Rais Samia amemuapisha, Suzanne Ndomba Doran kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi

Mwingine ni, Junus Purasdus Ndaro kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.
Rais Samia pia amemuapisha Dkt. Alhaj Almas Seleman kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi
amemuapisha Agnes Kisaka Meena kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi
Hangi Matekeleza Chang’a ameapishwa na Rais Samia kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi
Rifai Abdallah Mkumba kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *