WAZIRI JENISTA AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA NA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KUENDELEZA USHIRIKIANO KATIKA KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA UMMA, MATUMIZI YA TEHAMA SERIKALINI NA UWEZESHAJI WA KAYA MASKINI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan walipokutana jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo ya kuendeleza ushirikiano katika kuwajengea uwezo watumishi wa umma, matumizi ya TEHAMA serikalini na uwezeshaji wa kaya maskini
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan (hayupo pichani) alipokutana naye jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo ya kuendeleza ushirikiano katika kuwajengea uwezo watumishi wa umma, matumizi ya TEHAMA serikalini na uwezeshaji wa kaya maskini.
Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan (kulia) akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) walipokutana jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo ya kuendeleza ushirikiano katika kuwajengea uwezo watumishi wa umma, matumizi ya TEHAMA serikalini na uwezeshaji wa kaya maskini. Kushoto kwa Balozi ni Balozi Msaidizi, Mhe. Manoj Verma.
Mkurugenzi wa Mipango, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Cosmas Ngangaji akichangia hoja kwenye kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa TEHAMA Serikalini, Bw. Priscus Kiwango akichangia hoja kuhusu matumizi ya TEHAMA serikalini wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Dkt. Edith Rwiza akichangia hoja kuhusu masuala ya mafunzo kwa watumishi wa umma wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akipokea zawadi toka kwa Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan kuashiria ushirikiano mzuri uliopo baina ya Tanzania na India.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Pradhan (wa pili kulia), Balozi Msaidizi, Mhe. Manoj Verma (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi wa Mipango, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Cosmas Ngangaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *