WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA, WALA VIAPO.

Dodoma.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Camilius Wambura akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume a Utumishi ya jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, Jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022. Picha na zote na Wizara Ya Mambo Ya Ndani ya Nchi.
Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhani Nyamka akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Miriam Mmbaga akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *