WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA, MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WALA VIAPO KUWA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA LEO SEPTEMBA 26, 2022

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022.
Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhani Nyamka akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022.
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Miriam Mmbaga akila kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Gerson Mdemu, jijini Dodoma leo Septemba 26, 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *