KATIBU MKUU UJENZI AFUNGA KIKAO KAZI NA MAMENEJA WA TANROADS JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Balozi Mhandisi Aisha Amour, akizungumza wakati akifunga kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo kati ya sekta hiyo na Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), nchini jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila, akifafanua jambo wakati akitoa taarifa fupi katika kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Aisha Amour, akisaini mkataba wa utendaji na Mtendaji Mkuu wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila, mara baada ya kufunga kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila (kushoto), akimkabidhi mkataba wa utendaji kazi Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa wa Arusha, Mhandisi Reginad Massawe, mara baada ya kufunga kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Aisha Amour, akimkabidhi mkataba wa utendaji kazi Mtendaji Mkuu wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Rogatus Mativila, mara baada ya kufunga kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo, Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *