KAMATI YA BUNGE ZA MASUALA YA UKIMWI, HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAFANYA MAZUNGUMZO NA KAMATI YA AFYA NA HUDUMA KWA WATOTO KUTOKA BUNGE LA ZIMBABWE.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Udhibiti wa dawa za kulevya na Ugonjwa wa Kifua kikuu, Mhe. Fatma Toufiq (katikati) akiongoza mazungumzo kati ya Wajumbe wa kamati hiyo, Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto kutoka Bunge la Zimbawe wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kanali Mstaafu Dkt. Joshua Murire (kulia) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 20 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *