20 WAPITISHWA KINYANG’ANYIRO UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI

Wagombea 20 wamepitishwa Kugombea katika Uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka katika Vyama vya Siasa…

MABALOZI WAPOKEA NYENZO ZA KISWAHILI.

Na Eleuteri Mangi, WUSM. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Kiswahili la Taifa…

WAZIRI BASHUNGWA ATANGAZA BUNGENI NEEMA MPYA ILIYOTOLEWA NA RAIS SAMIA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent…

WABUNGE WAPEWA SEMINA KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA YA HAKIMILIKI NA HAKISHIRIKI, NA KANUNI YA ADA KWA VIBEBEO VYA KAZI ZA SANAA.

Na Shamimu Nyaki. Ofisi ya Hakimiliki nchini (COSOTA ) imetekeleza Agizo la Waziri wa Utamaduni, Sanaa…

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO KABAMBE WA SEKTA YA UVUVI. “Mpango utakao kuwa chachu ya kuendeleza ukuaji wa uchumi wa buluu.”

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta…

MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA ELIMU UMOJA WA MATAIFA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema katika kuelekea…

WIZARA YA ARDHI YAPATA TUZO KATIKA KONGAMANO LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI.

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepata Cheti na Tuzo katika Kongamano la Sita…

WAZIRI MASAUNI AFANYA UTEUZI WA MWENYEKITI, KATIBU NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA).

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mhandisi Hamad Masauni (Mb), kwaMamlaka aliyonayo chini ya…

WAAJIRIWA WAPYA 553 WA TAKUKURU WATAKIWA KUTUMIKIA MIAKA 5 BILA KUHAMIA TAASISI NYINGINE ILI KUTIMIZA LENGO LA MHE. RAIS LA KUTOKOMEZA RUSHWA NCHINI.

KAMATI YA BUNGE ZA MASUALA YA UKIMWI, HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII WAFANYA MAZUNGUMZO NA KAMATI YA AFYA NA HUDUMA KWA WATOTO KUTOKA BUNGE LA ZIMBABWE.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Udhibiti wa dawa za kulevya…