MBUNGE CHEREHANI ATUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA

Septemba 17,2022 imekuwa historia nyingine kwa mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani kuwa miongoni mwa viongozi waliotunukiwa Udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha LEADIMPACT cha Marekani kufuatia utambuzi wa kusaidia jamii katika nyanja tofauti

Akizungumza mara baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima dkt. Cherehani amesema moja ya ajenda kubwa ambayo amekuwa akifanya ni juu ya kuwasaidia wakulima sambamba na kuhakikisha wanapata elimu ya kilimo na ameishukuru Serikali kusimamia ajenda ya kumwezesha mkulima kulima kilimo cha kisasa ikiwemo kuwapatia wakulima ruzuku ya mbolea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *