SPIKA DKT. TULIA AFUNGUKA MKUTANO WA MAJADILIANO NA WADAU WA ELIMU JUU YA ELIMU JUMUISHI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo Septemba 2, 2022 amefungua Mkutano wa majadiliano na wadau wa elimu juu ya elimu jumuishi Tanzania ulioandaliwa na Taasisi ya Child Support Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa hoteli ya Morena Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *