KIKAO CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imefanya kikao na Wizara ya Maliasili na Utalii leo jijini Dodoma.

Katika kikao hicho Wizara imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa miaka minne ya Mradi wa Kuongeza thamani ya Mnyororo wa Mazao ya Misitu (FORVAC)

Kikao hicho kimehudhuriwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ,Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Eliamani Sedoyeka , Wakurugenzi wa Wizara na baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *