
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu amefungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati za usimamizi za Bunge (PAC, LAAC na PIC) pamoja na kamati ya Bajeti yaliyofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 katika hoteli ya Royal Village Jijini Dodoma.
