SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MKUTANO WA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), leo Agosti 25, 2022 ameshiriki Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola – (CPA) unaofanyika Halifax, Nova Scotia Nchini Canada.

Mhe. Spika ameambatana na wajumbe wa chama hicho kutoka Bunge la Tanzania ambao ni Mhe. Juma Othman Hija, Mhe. Salome Makamba na Mhe. Aysharose Mattembe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *