WAZIRI BASHUNGWA AHESABIWA KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Spencia Rutalemwa wakati akihesabiwa nyumbani kwake kijiji cha Ahakishaka, Kata ya Nyabiyonza, wilaya ya Karagwe, Mkoani Kagera. Leo tarehe 23 Agosti 2022

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *