MBUNGE ESTHER BULAYA AHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Esther Bulaya Akizungumza na Karani wa Sensa Bw. Mohammed Ramadhani Salum mapema leo Agosti 23, 2022 alipokuwa akihesabiwa katika Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi nyumbani kwake Mbweni Maputo, Jijini Dar es salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *