MKUTANO MAWAZIRI WA MAJI WA BONDE LA MTO NILE KUANZA LEO

Washiriki wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile, unaofanyika Leo Agosti 19, 2022, Jijini Dar es Salaam, wakifuatilia Mkutano huo ambao unafunguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo.

Mkutano wa Mabaraza ya Mawaziri wa Maji wa Bonde ukumbi wa mikutano wa Hyatt Regency ambapo nchi ya Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji na katika hatua nyingine Tanzania itapokea Uenyekiti wa Baraza Hilo kwa muda wa mwaka mmoja ambapo Waziri wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Jumaa Aweso atapokea kijiti hicho na kuongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *