AWESO MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI BONDE LA MTO NILE

Kutoka katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mji wa Bonde la Mto Nile, uliofanyika leo Dar Es Salaam Tanzania, Waziri wa Maji wa Tanzania, Mhe. Juma Aweso amepokea Uenyekiti wa Baraza Hilo ambalo linaundwa na Mawaziri 10 kutoka nchi wanachama 10.
Bonde la mto Nile Lina Watu zaidi ya milioni 272 ambao wanaishi kutegemea Bonde Hilo.
Taasisi ya Mpito ya Bonde la Mto Nile ilianzishwa Dar es Salaam tarehe 22 Februari 1999.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *