SINGIDA BIG STAR YATISHA, YASHUSHA WABRAZILI WATATU

Msimu wa mashindano wa mwaka huu yaani 2021/22 ulikuwa msimu mzuri kwa singida big star baada ya kufanya vizuri kunako championship na kufanikiwa kupanda hadi ligi kuu tanzania bara.

Licha ya kufanya vizuri lakini timu hiyo imeboresha kikosi chao kwa kiasi kikubwa sana, kuanzia eneo la golikipa hadi kwa ushambuliaji pia wamebadili na benchi lao la ufundi.

Leo nimekusogezea wachezaji wote waliokwisha kusajiliwa na singida big star kwa ajil ya msimu ujao.

~ Aziz Adambwile
~ Paul Godfrey (Boxer)
~ Kelvin Sabato
~ Abdulmajid Mangalo
~ Metacha Mnata (Gk)
~ Said Ndemla
~ Benedict Haule (Gk)
~ Yassin Mstafa
~ Deus Kaseke
~ Meddie Kagere
~ Paschal Wawa
~ Peu Dar Crus Slivino (Brazil)
~ Harrson Mwendwa
~ Dario Silva JR (Brazil)
~ Bruno Gomes (Brazil)

👉Kocha mkuu Hans Van Der Pluijm
👉Kocha msaidizi Mathias Lule

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *