Mkuu wa mkoa wa Iringa Halima Dendego amewataka wakurugenzi wa halmashauri mkoani humo kubuni vyanzo vya mapato na kuboresha vyanzo vilivyopo ili kuwezesha halmashauri kuweza kuongeza uwezo wa kujitegemea kwa mapato ya ndani ya halmashauri.
Amesema hayo wakati akizungumza na watumishi wa mkoa mara baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Queen Sendiga ambaye amehamishiwa mkoa wa Rukwa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Halima Dendego amewataka wakurugenzi wa halmashauri mkoani Humo kubuni vyanzo vya mapato na kuboresha vyanzo vilivyopo ili kuwezesha Halmashauri kuweza kuongeza uwezo wa kujitegemea kwa mapato ya ndani ya halmashauri.
Amesema hayo wakati akizungumza na watumishi wa mkoa mara baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Queen Sendiga ambaye amehamishiwa mkoa wa Rukwa
Dendego amesema ni vyema kila mkurugenzi kuweka mkakati wakuwa na chanzo kingine cha mapato ili kusaidia kuwahudumia wananchi katika nyanja mbalimbali.

Dendegoamesema ni vyema kila mkurugenzi kuweka mkakati wakuwa na chanzo kingine cha mapato ili kusaidia kuwahudumia wananchi katika nyanja mbalimbali.