MKANDARASI AKABIDHIWA ENEO LA UJENZI WA BWAWA LENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI KUMI NA MOJA CHAMWINO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amemtaka mkandarasi NAKUROI CONSTRACTORS, kukamilisha ujenzi wa Bwawa…

BALOZI PROF. ADELAROUS KILANGI AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA BRAZIL

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Brazil, Mhe.Prof. Adelarous Kilangi amesema katika Taifa hilo…

BALOZI PROF. ADELAROUS KILANGI AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA BRAZIL

Balozi wa Tanzania Nchini Brazili Mhe. Prof. Adelarous Kilangi, amewataka Watanzania kuzitumia fursa za kiuchumi zinazopatikana…

BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent…

PIC YARIDHISHWA NA UTENDAJI WA NHC

Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),imesema imeridhishwa na utendaji kazi wa…

KIKAO CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imefanya kikao na Wizara ya Maliasili…

MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUANZA KUTUMIKA

Angela Msimbira OR-TAMISEMI OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imeanza rasmi kutumia…

KAMATI YA BUNGE YA USEMI YAWAFURAHISHA WANACHI BOMA LA N’GOMBE

Wananchi wa kata ya boman’gombe wilayani kilolo, Iringa wamefurahishwa na ziara ya Kamati ya Kudumu ya…

NAIBU SPIKA ZUNGU AFUNGUA MAFUNZO YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI KWA KAMATI ZA USIMAMIZI ZA BUNGE (PAC, LAAC NA PIC) PAMOJA NA KAMATI YA BAJETI.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu amefungua mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa kamati…

WAZIRI JENISTA AFANYA KIKAO KAZI NA WAKUU WA TAASISI ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE.

Inbox HABARI KATIKA PICHA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na…