Shule za Serikali zimeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita na shule saba zimeingia kwenye orodha ya shule 10 za Kitaifa.
Katika Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa mapema leo hii imeonyesha mchanganuo wa Shule zilizofanya vizuri zaidi ni kama ifuatavyo:
- KEMEBOS – Binafsi
- KISIMIRI – Serikali
- TABORA BOYS’ – Serikali
- TABORA GIRLS’ – Serikali
- AHMES – Binafsi
- DAREDA – Serikali
- NYAISHOZI – Binafsi
- MZUMBE – Serikali
- MKINDI – Serikali
- ZIBA – Serikali
MATOKEO YOTE HAYA HAPA CHINI