MATUKIO KATIKA PICHA.

Mchezo wa nusu fainali kati ya Bunge dhidi ya Bongo Fleva. Mchezo huo umetamatika Kwa ushindi wa timu ya Bunge wa mikwaju ya Penati 4 Kwa 3 baada ya sare ya goli 1-1 katika dakika 30.
Ni @crdbbankplc Pamoja Bonanza ndani ya uwanja wa Jamhuri.






