BONANZA LA CRDB LAPAMBA MOTO KWA WABUNGE NA WADAU

MATUKIO KATIKA PICHA

Mapema leo Juni 25, 2022 Jijini Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau mbalimbali wamejitokeza katika Bonanza la CRDB pamoja ambapo walianza na Mbio fupi na Matembezi kuanzia katika Viwanja vya Bunge hadi uwanja wa Jamhuri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *