SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA TEMBO NICKEL

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya Tembo Nickel wakiongozwa na Meneja Mkazi Benedict Busunzu, Mkuu wa Idara ya Fedha Frank Kilua na Meneja wa Mahusiano Sauda Simba Walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Juni 23, 2022 kwa lengo la kujitambulisha na kumuelezea shughuli wanazozifanya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *